KICHUPA KIPYA : DAVIDO – OWO NI KOKO [Official Video]

DavidoHitmaker wa Skelewu, Davido ameangusha video mpya ya ngoma yake inayokwenda kwa jina la ”Owo Ni Koko”  akiwa  chini ya usimamizi wa lebo yake ya HKN. Itupie jicho  kwa mara ya kwanza

Katika hatua nyingine, Davido ameamua kujipongeza kwa kununua mkoko wa kifahari aina yaRange Rover Autobiography‘ toleo la mwaka 2014 ikiwa ni zawadi yake aliyojinunulia kwa ajili ya msimu wa sikukuu ya Christmas.

Davido CarEARLY CHRISTMAS PRESENT FOR MYSELF!! BEEN A GREAT YEAR THANKS FOR ALL THE SUPPORT WORLDWIDE! I WOULDNT HAVE GONE THIS FAR WITHOUT U GUYS!! 😈 2015 GONNA BE MAD!! #OwoNiKoko” aliandika Davido kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuposti picha ya dinga lake hilo jipya kama unavyo-onekana hapo juu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s