DIAMOND PLATNUMZ ATWAA TENA TUZO NCHINI NIGERIA

Diamond Platnumz akiwa ameshika Tuzo yake

Diamond Platnumz akiwa ameshika Tuzo yake

Nyota wa muziki wa Bongo Fleva na kaka wa hiyari wa Wema Sepetu, Naseeb Abdul  A.K.A  ‘Diamond Platnumz’ anaumaliza mwaka vizuri baada ya kunyakua Tuzo nyingine nchini Nigeria ikiwa ni wiki moja kupita tangu alipopata Tuzo Tatu kwa mpigo za Channel O Music zilizotolewa Afrika kusini.

Katika Tuzo hizo zilizofahamika kwa jina la Future Awards Africa, Diamond aliweza kuibuka na Tuzo ya Prize in Entertainment kwa mwaka 2014 akiwakilishwa na mmoja wa mameneja wake aitwaye Salamu aliyehudhuria hafla ya utoaji wa Tuzo hizo wikiendi iliyopita.

Thanks God, we have Cheated another one on The Future Awards Africa in Lagos Nigeria… #SameDay #SameNight Thank you Allah!”  aliandika Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram wenye mashabiki zaidi ya laki tatu.

Diamond

Pichani ni Meneja wa Diamond, Salam akiwa ameshika Tuzo aliyopewa Diamond nchini Nigeria

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s