SAMUEL ETO’O AFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE ALIYEDUMU NAE ZAIDI YA MIAKA 10

Mshambuliaji hatari wa timu ya Taifa ya Cameroon na Evertoon, Samuel Eto’o ameyakacha rasmi maisha ya ukapela baada ya kufunga pingu za maisha na mchumba wake wa muda mrefu aitwaye Georgette nchini Italia Jumatatu(Novemba 24) katika mji mdogo wa Capiago Intimiano.

kabla ya ndoa, Eto’o na Georgette walikuwa wakiishi pamoja kwa kipindi cha miaka 10 na kufanikiwa kupata watoto wanne.  We wish the couple all the best.

Eto'o

Samuel Eto’o na mkewe wakipata ukodaki mara baada ya  kufunga ndoa

Etoo9

Eto’o, mkewe na wapambe wakielekea garini 

Advertisements

2 thoughts on “SAMUEL ETO’O AFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE ALIYEDUMU NAE ZAIDI YA MIAKA 10

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s