MATOKEO YA MECHI ZA UEFA : ARSENAL YAITANDIKA 2 – 0 DORTMUND

Sanchez

Pichani ni mchezaji wa Arsenal, Sanchez akishangilia bao alilofunga dhidi ya Dortmund

Washika mtutu wa jiji la London, Arsenal hatimaye wameuona mwezi baada ya kuitandika Borussia Dortmund jumla ya mabao mawili kwa nunge katika mtanange uliopigwa kwenye dimba la Emirates hapo jana ikiwa ni mchezo wa kundi ”D” wa ligi ya mabingwa barani ulaya.

Magoli ya Arsenal yaliwekwa wavuni kupitia wachezaji wake,Yaya Sanogo pamoja na Alexis Sanchez

Mchezo mwingine ni ule uliowakutanisha miamba ya Hispania, Real Madrid wakiwa ugenini ambapo walifanikiwa kuipa kipigo cha bao moja kwa mtungi ‘Basel’ kupitia mpachika mabao wake, Cristiano Ronaldo mnamo dk ya 35′ kipindi cha kwanza.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s