MHH!! VAZI HILI??? LADY GAGA AZURULA MITAA YA JIJI LA PARIS AKIWA AMETINGA KUFULI TU

Gaga1Mwanamuziki Lady Gaga anasifika kwa  kupenda kutupia mavazi ya ajabu ajabu ila usiku wa jana hitmker huyo wa ”Just Dance”  alijikuta akitolewa nishai na vazi alilokuwa amevaa baada ya mchomoko huo kusinyaa hali iliyopelekea kupoteza mvuto wake.

GagaHata hivyo mwanamuziki huyo hakuonekana kujali na badala yake aliamua kulivua vazi hilo na kubakiwa na kufuli(chupi) na kisha kuanza kupuyanga kwenye mitaa ya jiji la Paris nchini Ufaransa.

Gaga3

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s