KUMBUKUMBU YA MIAKA MIWILI(2) YA KIFO CHA SHARO MILIONEA

 

SHAROLeo ni kumbukumbu ya miaka miwili ya kifo cha muigizaji na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Hussein Ramadhan Mkieti A.K.A Sharo Milionea kilichotokea Novemba 26, mwaka 2012 kwa ajali ya gari katika eneo la Maguzoni mkoani Tanga wakati akitokea jijini Dar es salaam akielekea kijijini kwao Lusanga wilaya ya Muheza.

Baadhi ya wasanii wenzake ambao aliwahi kufanya nao kazi akiwemo swahiba wake  mkubwa kitale wameamua kumuenzi kwa kuzindua filamu yake ya mwisho aliyocheza inayoitwa ”Safara Hasara” ikiwa ni katika   kuthamini mchango wake alioutoa kwenye sekta ya filamu na muziki.

Pichani ni gari aina ya Toyota Harrier alilopata nalo ajali Sharo Milionea

Rest In Peace Sharo Milionea 

Daima Tutakukumbuka

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s