Wahenga wanasema True Love Never Dies. Msakata kabumbu wa timu ya Taifa ya Rwanda, Hamad Ndikumana amefumwa na kamera za mapaparazi kwenye uwanja wa ndege wa Rwanda akimsindikiza mkewe ambaye ni muigizaji nyota wa Bongo Movie ‘Irene Uwoya’ aliyekuwa akirejea nchini Tanzania.
Awali wawili hao walifunga ndoa baab kubwa mwaka juzi na kufanikiwa kupata mtoto wa kiume lakini hata hivyo ndoa hiyo ilionekana kupigwa na mawingi makali ya michepuko hali iliyopelekea kila mmoja achukue hamsini zake ila kwa sasa mambo yanaonekana kuwa shwari.
Picha kwa hisani ya shaffihdauda.com
kwanini watanzania wanapenda kucheza filamu zangono wao sisi tunawaaminia sana alakini wanaaza kujizaurisha waowenyewe
nakkbal sana sister daaah,mwenye wivu ajinyongee