KARIBU NYUMBANI RAIS JAKAYA KIKWETE

JK Hali ya  Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ‘Jakaya Mrisho Kikwete’ imeimarika na hivyo amepatiwa ruhusa ya kurudi nyumbani baada ya kufanyiwa upasuaji wa tezi dume(Prostate) Novemba 08, mwaka huu kwenye hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland nchini Marekani.

”We Good Now…Ready to come home” aliandika Miraji Kikwete ambaye ni mtoto wake wa kiume kupitia ukurasa wake wa Instagram sambamba na kuposti picha ya baba yake akiwa ametabasamu kwa furaha hali inayoashiria kuwa yupo fiti.

Karibu Nyumbani Prezidaaa

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s