AMA KWELI DUNIANI WAWILI WAWILI!! AINGIZA MKWANJA MREFU KWA KUFANANA NA RIHANNA

The 55th Annual GRAMMY Awards - Arrivals

Rihanna

Unaambiwa Duniani wawili wawili. Mrembo Andele Lara mwenye makazi yake mjini Boston nchini Marekani amejikuta akiitumia ipasavyo fursa yake ya kufanana karibia kila kitu na mwanamuziki machachari wa miondoko ya R&B, Robbin Fenty au maarufu kwa jina la jukwaani Rihanna kuingiza mkwanja mrefu.

Mwaka jana Mtandao wa Elite ulimripoti Lara kuweka kibindo dola za kimarekani 20,000 baada ya kuingia mkataba na makampuni mbalimbali ikiwemo ya utengenezaji wa nguo, nywele bandia,viatu na urembo ikiwa na kuingia klabu pasipo kulipa kiingilio chochote.

“I wouldn’t really say I’ve gone out looking for opportunities, they’ve just come along naturally. I reckon if I put more effort, I would get even more! I’ve scored hair contracts as well as sneaker, mascara, hair accessories and apparel deals. I also get into clubs for free and I get a lot of free drinks too!” alisema Lara.

Je, Kwako wewe kijana wa Kitanzania ambaye umefanana na mmoja wa celeb wa hapa nyumbani, unaitumiaje fursa yako??? Haya Fanya kumtupia jicho mtoto Lala hapo chini AKA Pacha wa Rihanna

 

r3R2

R1

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s