MAMA MZAZI WA KIM KARDASHIAN ANASA KWA SERENGETI BOY

Mama mzazi wa mwanamitindo Kim Kardashian, Kris Jenner mwenye umri wa miaka 58 ameonekana kuchanganyikiwa na penzi jipya analopewa na serengeti boy wake aitwaye Corey Gamble(33) na kujikuta wakionyeshana mahaba niue hadharani pasipo kujali macho na kamera za mapaparazi.

Wawili hao walionekana katika mitaa ya jiji la Los Angels nchini Marekani Ijumaa ya Oktoba 30 huku nyuso zao zikionyesha kuwa na furaha isiyo na kifani wakati wakijianda kwenda mapumzikoni nchini Mexico.

Awali Kris Jenner ambaye ni staa wa kipindi cha ”Keeping Up With The Kardashian” alikuwa mke wa Bruce Jenner  aliyezaa nae watoto wawili ambao ni Kendall na Kylie kabla ya kuamua kupigana chini na kila mtu kuchukua taimu zake.

Kris Jenner na serengeti boy wake Corey Gamble

Kris Jenner na serengeti boy wake

Corey Gamble na mama kubwa Kris wakionyeshana mahaba nikaushe damu

Corey Gamble na mama kubwa Kris wakionyeshana mahaba nikaushe damu bila ya kupepesa

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s