WALIOHUSIKA NA MAUAJI YA KIPA WA AFRIKA KUSINI ‘SENZO MEYIWA’ WAKAMATWA

Mlinda mlango wa Orlando Pirates na Bafana Bafana, Senzo Mayiwa enzi za uhai wake

Mlinda mlango wa Orlando Pirates na Bafana Bafana, Senzo Mayiwa enzi za uhai wake

Siku za mwizi ni arobaini, hatimaye mtuhumiwa wa mauaji ya golikipa Senzo Meyiwa aliyekuwa akiichezea klabu ya Orlando Pirates na kapteni wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini amekamatwa na anatarajiwa kupandishwa kizimbani mnamo Tarehe 11 Novemba mwaka huu.

Zamokuhle Mbata mwenye umri wa miaka 25, anahusishwa na mauaji ya Meyiwa pia anakabiliwa na shitaka la kutumia silaha katika unyang’anyi, alisema Nathi Mncube ambaye ni msemaji wa mashtaka na mamlaka ya Taifa.

Meyiwa alifariki Dunia usiku wa Jumapili iliyopita eneo la Vosloorus Township ambapo polisi walitangaza dau la milioni 14 kwa watu watakaotoa taarifa zaidi kuhusu watuhumiwa waliohusika.

Watuhumiwa

Pichani ni watuhumiwa wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya goli kipa wa Bafana Bafana Senzo meyiwa

Advertisements

One thought on “WALIOHUSIKA NA MAUAJI YA KIPA WA AFRIKA KUSINI ‘SENZO MEYIWA’ WAKAMATWA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s