UJIO MPYA WA VIDEO YA YOUNG KILLER #13 : NISHER ATOA ANGALIZO MAPEMA KWA WATAZAMAJI

NisherMuongozaji mahiri wa video nchini, Nisher Bybee ametoa angalizo mapema kwa mashabiki wanaosubiria kwa hamu ujio wa video mpya ya Young Killer inayoitwa Kumi Tatu (13) ambayo itaachiwa rasmi Tarehe 13 mwezi Novemba mwaka huu kwa kile alichoeleza kuwa ni utofauti uliokuwa nao na video alizowahi kufanya awali.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nisher aliandika…

“Utakapo kua-unaitazama video hii hakikisha unavitu vifuatavyo…Uwe na Speakers nzuri zinazoweza kutafsiri Bass vizuri kama vile Surround Sound…. Make sure una TV nzuri au kama ni computer Make sure Ninzima haina Matatizo…Kwenye hii video Nimecheza Na Macho na Maskio yako sana so, Get Ready kuchanganyikiwa…. kuna Sound Effects zaidi ya 87 humu ndani Na Visual Effects ili kukupa Excitement ya kutazama….Ni kitu tofauti Sana Na Video Zangu Zote!!!! Hope You will enjoy… ”.

Young Killer tayari ameshaachia audio ya ngoma yake hiyo akiwa amevishirikisha vichwa hatari kama vile  Fareed Kubanda AKA Fid Q na mkali wa viitikio Belle 9.Young Killer

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s