PICHA : PETITMAN AFUNGA NDOA NA DADA WA DIAMOND

P2

Mr & Mrs Petitman katika Pozi

Kama masihara vilee, Meneja wa Mwanamuziki Mirror na kaka wa hiyari wa Wema Sepetu, Petitman amemchukua jumla dada wa mwanamuziki Diamond Platnumz aitwaye Esma baada ya kufunga nae ndoa takatifu ya kiislamu Ijumaa ya Septemba 19 katika sherehe iliyohudhuriwa na ndugu wa karibu wa wanandoa hao.

”Namshukuru mungu kwa kila jambo na leo naomba nitoe tamko rasmi kuwa @esmaplatnum ndio mke wangu kipenzi nampenda sana na ndomaana nipo Nae pia nashukuru kwa team yangu @endlessfame na wote waliosupport na piaaa @martinkadinda @wemasepetu  nawapenda sana na bila kisahau dada angu kipenzi na mama angu kipenzi @teddygipson namalizia kusema niko nalala….😋😋” aliandika Petitman kwenye ukurasa wake wa Instagram na kisha kuposti picha kadhaa za harusi yake.

”namshukuru sana mamaangu kwani yeye ndo kila kitu ktk maisha yangu pia nashukuru ndugu zangu wote kwa kuwa pamoja na mimi ktk hii shughuli nashukuru pia my lovely husband nampenda sana @petitman_wakuache …. tulianza km mchezo yamesemwa mengi but ndo mambo ya binadamu… pia siwezi msaahau mtu mmoja @auntyezekiel wee mwenyewe unajua… my lovely wiii @wemasepetu thank uuu @romyjons @diamondplatnumz nawapenda sana hamkuniacha nyuma mlikuwa pamoja nami… tupendane kweli kweli wabaya waulizane… nawapenda na nyie hapo mashabiki zangu 😘😘😘😘” aliandika Esma

p1

Petitman, mkewe Esma na shahidi wa ndoa yao

P3

Mr & Mrs Petitman katika picha na ndugu wa karibu

P4

Petitman akimvisha pete ya ndoa Esma

P5

Mr & Mrs. Petitman wakipata ukodaki

P6

Mashekhe wakisoma dua maalum

P7

Petitman wakuache baada ya kuchukua mke

Petitman

Petitman, Mama wa Esma na Diamond ‘Bi Sandra na Esma wakipata ukodaki

Untitled

Muke ya Petitman ‘Esma’ akimeremeta

 Blogu ya Larrybway91 inawapa hongera Mr & Mrs Petitman

 

Advertisements

2 thoughts on “PICHA : PETITMAN AFUNGA NDOA NA DADA WA DIAMOND

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s