HUYU NDIYE MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA SHINDANO LA BIG BROTHER AFRICA HOTSHOTS

Idris Sultan

Idris Sultan

Baada ya kusubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa burudani, waandaaji wa shindano la Big Brother Africa, M-Net na Endemol SA wameanza zoezi la kutangaza majina ya washiriki shindano hilo baada ya kuchelewa kuanza Kufuatia  jumba lililokuwa likitumika kuteketea kwa moto  mwezi Septemba  mwaka huu mjini Johannesburg Afrika Kusini.

Msimu mpya wa tisa wa shindano la Big Brother Africa Hotshots unatarajia kuanza  mwezi ujao(Octoba 05) huku Tanzania ikitoa mwakilishi aitwaye Idris Sultan ambaye ni mpiga picha wa kampuni ya I-view Studios.  Unaweza  ukatazama orodha ya washiriki wengine hapo chini.

Wawakilishi wa BBA

Advertisements

One thought on “HUYU NDIYE MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA SHINDANO LA BIG BROTHER AFRICA HOTSHOTS

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s