DIAMOND ATIBUA HALI YA HEWA UINGEREZA, KISA???

Diamond PlatnumzMsanii ghali zaidi wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amegoma tena kutokea jukwaani kufuatia Promota aliyemwandalia shoo  kwenye klabu ya LAFACE mjini London nchini Uingereza iliyokuwa ifanyike Ijumaa Septemba 19 kushindwa kutimiza masharti ya malipo kama vile ilivyotokea kwa promota wa Ujerumani wiki chache zilizopita.

”tafadhari ndugu zangu wa UK!!!….kuweni makini sana na promoter huyu (Victor – Dj rule) mnaposikia kaandaa show, party au Hafla yoyote…ni vyema kuziepuka na kutohudhuria kabisa kwasababu ni tapeli…. si unajua aisifiae mvua imemnyeshea… basi mie nimeloa kabisa!”. Aliandika Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuweka picha ya Promota huyo hapo chini.

Diamond

 

 

 

 

Advertisements

6 thoughts on “DIAMOND ATIBUA HALI YA HEWA UINGEREZA, KISA???

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s