KICHUPA KIPYA : JENNIFER LOPEZ – BOOTY Ft. IGGY AZALEA [Official Video]

JLo Feat. Iggy AzaleaKwa lugha rahisi twaweza sema Jennifer Lopez ameamua kumlipa Nick Minaj kupitia video yake mpya ya ”Booty Remix” akiwa amemshirkisha Rapa Iggy Azalea.  Katika Video hiyo inawaonyesha J.Lo na Iggy wakicheza sambamba kwa staili ya kutwerk kama vile alivyofanya minaj kwenye video yake ya Anaconda.

Booty ni miongoni mwa ngoma zinazopatikana kwenye albamu ya J.Lo inayoitwa A.K.A iliyotoka mwezi June mwaka huu. Nisingependa nikuchoshe sana fanya kuitupia jicho hapo chini na kisha utupe maoni yako ipi zaidi kati ya Booty na Anaconda.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s