PICHA : AKON AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA

10394047_915466105148610_4585435289872044774_n

akon na Rais Uhuru wakiteta jambo

Mwanamuziki nyota wa R&B kutoka Marekani mwenye asili ya Senegal, Akon amekutana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na kufanya mazungumzo nae juu ya mpango kusambaza umeme katika eneo la Kibera na sehemu nyingine za vijijini zisizokuwa na nishati hiyo.

Mpango huo ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wake wenye lengo la kugawa umeme kwa mamilioni ya kaya katika bara la Afrika mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka.

”Napenda kumpongeza Akon kwa kuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wa kiafrika na napenda kuwatia moyo wengine kuiga mfano wake. Sisi tunaukaribisha mpango huu na tutakuwa nae bega kwa bega” aliandika Rais Uhuru kwenye ukurasa wake wa Facebook

10304639_915466165148604_8559528342291812291_n

Rais Uhuru, Akon na watu wake katika picha ya pamoja ikulu ya kenya

10371359_915466221815265_4675424780169801868_n

Rais Uhuru Kenyatta na Akon wakipata ukodaki

10406677_915466255148595_2650786118532577845_n

Akon akijionea vivutio vilivyopo ikulu ya Kenya

10472957_915466138481940_7398338281766763319_n 10635879_915466191815268_5062270954625519646_n 10659388_915466091815278_4084238641265613378_n 10690216_915466291815258_1735262506733729008_n

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s