KALI YA MWAKA!! RAPA WACKA FLOCKA ATANGAZA KULIPA UJIRA WA MILIONI 80 ZA KIBONGO KWA AJILI YA KUSOKOTEWA BANGI

Wacka Flocka Flame

Wacka Flocka Flame

Rapa wa Atlanta, Wacka Flocka ametoa kali ya mwaka baada ya kutangaza nafasi ya ajira kupitia ukurasa wake wa Instagram ya mtu atakayekuwa akimsokotea bangi kwa malipo ya dola za kimarekani 50,000(Tsh80 milioni) kwa mwaka na kuwataka wale wote wenye nia watume maombi yao kwenye karatasi ya kunyongea bangi.

”Im Paying 50k A YEAR FOR A BLUNT… HASHTAG #ICANROLL aliandika Flocka na kuongeza All resumes must be sent on a rolling paper or blunts #seriousinquiriesonly #Gpen.

Wacka

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s