BEYONCE AZIMA TETESI ZA UJAUZITO KWA PICHA HIZI

Bey-and-Jay-600-x-450-3

Beyonce na Jay Z katika pozi

Hitmaker wa Drunk in Love, Beyonce Knowles amezima tetesi za kuwa na ujauzito baada ya kumwaga picha za kutosha kwenye tovuti yake akiwa mapumzikoni na familia yake zinazomuonyesha akiwa kitumbo wazi.

Mbali na picha hizo kumekuwepo pia na habari za chini ya kapeti juu ya wanandoa hao kuhusu kushirikiana tena kwenye albamu mara baada ya kupost kipande kifupi cha video kwenye mtandao wa Youtube walichokipa jina la Bang Bang Part 1.

 

Bey-Beach-600-x-450

Beyonce akiponda raha za Dunia ufukweni

Bey-Bikini-Dress

Wahenga wanasema kusoma hujui hata picha huoni

Bey-Python-Bikini

Mrs.Carter akiwa ametinga kivazi cha kuogelewa

Blue-600-x-450

Mtoto wa Beyonce na Jay Z, Blue Ivy akifanya yake mchangani

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s