PICHA : SERENA WILLIAMS AANIKA UMBO LAKE HADHARANI

Serena Williams huwa hajivungi pale linapokuja suala zima la kula bata hiyo ni baada ya kuamua kusherekea ubingwa wake wa U.S Open  katika fukwe za Miami akiwa ametinga kivazi cha kuogelea ”bikini” na kujikuta akiwaachia uwanja mapaparazi wa kulimulika umbo lake ipasavyo.

Katika matanuzi hayo mcheza tenesi huyo nambari moja kwa ubora Duniani alionekana akiwa beneti  na watu wake wa karibu akiwemo laaziz wake pamoja na mwigizaji Eve Longoria.  Fanya kumtazama hapo chini.

S3

Serena Williams na Mwigizaji Eve Longoria wakikatiza kwenye fukwe za Miami

S8

Serena, Eve Longoria na mpenzi wake

S1 S2  S4 S5 S6 S7 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s