VIDEO : 50 CENT AMCHOKOZA TENA MAYWEATHER

50 cent na Floyd Mayweather

Pichani ni 50 cent na Floyd Mayweather

Ushindi wa pointi alioupata bondia Floyd Mayweather usiku wa Jumamosi(Septemba 13) dhidi ya mpinzani wake Marcos Maidana katika pambano la  marudiano umeonakana kumgusa Rapa 50 Cent na kuamua kumtania swahiba wake huyo baada ya kulalamika kung’atwa kidole na Maidana katika raundi ya nane.

Hii sio mara ya kwanza kwa 50 cent kumtania Mayweather ambaye ameweka rekodi ya kushinda jumla ya mapambano 47 pasipo kupoteza hata moja. Itazame  hapo chini Video fupi aliyoposti 50 kupitia ukurasa wake wa Instagram uvunje mbavu zako.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s