BONDIA FLOYD MAYWEATHER AMALIZA UBISHI, AMDUNDA TENA MAIDANA

 1410675247118_wps_6_Floyd_Mayweather_punches_

Bondia wa Marekani, Floyd Money Mayweather ameendeleza ubabe wake baada ya kumtandika kwa pointi mwanamasumbwi wa Argentina, Marcos maidana katika pambano la Marudiano lililofanyika usiku wa jana Septemba 13 kwenye ukumbi wa MGM Grand Garden Arena mjini Las Vegas.

Katika mpambano huo wa raundi 12, Mayweather alionekana akimlalamikia mwamuzi na kudai kuwa ameng’atwa na mpinzani wake na hivyo kumlazimu kutumia mkono mwingine kushambulia kuanzia raundi ya nane.

 Majaji wa pambano hilo ambao walikuwa watatu walitoa alama kama ifuatavyo : Jaji wa kwanza alitoa alama 115 – 112, wa pili 116 – 111 na wa tatu alitoa 116 – 111 ambazo zilimwezesha Mayweather kuweka rekodi nyingine mpya ya kushinda pambano lake la 47 bila kupoteza.

Kwa ushindi huo unamfanya mayweather mwenye miaka 37 amalize ubishi na Maidana kufuatia kumtandika   mara mbili huku mara ya kwanza ikiwa ni mwezi Mei mwaka huu.

1410675509083_wps_23_LAS_VEGAS_NV_SEPTEMBER_13

Bondia Floyd mayweather akiingia uliongoni na wapambe wake

1410675485492_wps_22_LAS_VEGAS_NV_SEPTEMBER_13

Marcos Maidana akiwasili ulingoni huku uso wake ukionyesha kujiamini zaidi

1410675247107_wps_5_Sep_13_2014_Las_Vegas_NV_

Floyd Maywether na maidana wakisomana

1410675247194_wps_14_Marcos_Maidana_punches_Fl

Maidana akimtupia konde zito bondia Floyd Mayweather

1410675247232_wps_17_Actor_Will_Smith_waits_fo

Muigizaji nyota wa Hollywood, Will Smith akifuatilia kwa makini pambano la Mayweather na Maidana

1410675802465_wps_31_Marcos_Maidana_L_of_Argen

Mayweather akikwepa konde zito toka kwa maidana

1410675704149_wps_28_LAS_VEGAS_NV_SEPTEMBER_13

Mayweather akiwa chini baada ya kuangushwa na mpinzani wake

1410675540220_wps_24_LAS_VEGAS_NV_SEPTEMBER_13

Bondia Mayweather akizozana na Maidana baada ya kudai kuwa ameng’atwa

 

Maywheather

Mayweather akimuonyesha mwamuzi wa mchezo eneo alilong’atwa

 

1410675635886_wps_25_LAS_VEGAS_NV_SEPTEMBER_13

Mayweather akichuliwa na wasaidizi wake

1410675881049_wps_33_Floyd_Mayweather_Jr_of_th 1410675944808_wps_35_Floyd_Mayweather_Jr_of_th 1410676029042_wps_38_LAS_VEGAS_NV_SEPTEMBER_13

1410676113634_wps_41_LAS_VEGAS_NV_SEPTEMBER_13

Mayweather akimshangaa Maidana akinyanyua mikono juu baada ya mchezo kumalizika

 

Floyd maywheather akiwa na timu yake ulingoni baada ya kutangazwa mshindi

Floyd mayweather akiwa na timu yake ulingoni baada ya kutangazwa mshindi

 

Advertisements

One thought on “BONDIA FLOYD MAYWEATHER AMALIZA UBISHI, AMDUNDA TENA MAIDANA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s