STEVE NYERERE AJIUZURU UENYEKITI BONGO MOVIE

Steve Nyerere

Steve Nyerere

Msanii nyota wa filamu nchini, Steve Nyerere ametangaza kujiuzuru nafasi ya uenyekiti wa Bongo Movie na kubaki kuwa mwanachama wa kawaida.

”Napenda kuwashkulu ndugu zangu wote wasaniii wenzangu kaka zangu mama zangu rafiki zangu mimi pamoja na family yangu nimeamua kujiuzuru uongozi wa bongo move nabaki kuwa mwanachama wa kawaida naimani tulifurahi pamoja tukauzunika pamoja na daima tutakuwa pamoja”, aliandika Steve Nyerere kwenye ukurasa wake wa Instagram

Steve Nyerere anakuwa kiongozi wa pili wa Bongo Movie kujiuzuru katika kipindi cha mwezi mmoja kupita tangu aliyekuwa katibu wa chama hicho, William Mtitu alipotangaza kuachia ngazi mwezi Agosti Mwaka huu kwa kile alichodai kuwa ni watu kutumia chama hicho kwa maslah yao binafsi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s