ALICIA KEYS AMUANGUSHIA BONGE LA BIRTHDAY SWIZZ BEATZ

Swizz Beatz

Mr & Mrs  Dean katika Pozi

Huenda ikawa ni birthday ya kihistoria kuwahi kufanywa na wanamuziki nyota wa Marekani kufuatia mkali wa miondoko ya R&B, Alicia Keys kumuangushia bonge la Birthday Bash  mume na baba watoto wake, Swizz Beatz katika kusherekea siku yake ya kuzaliwa.

Swizz Beatz  ambaye ametimiza umri wa miaka 36 leo September 13,  alimmwagia sifa kemkem mkewe kwa jinsi alivyoweza kuandaa na kuipangilia shughuli nzima iliyokuwa na muonekano kama ule wa filamu ya Coming To America sambamba na kuwashukuru wazazi wake waliohudhuria sherehe hiyo.

”My Wife is awesome . Thx my love for the best Bday party everrrrrrrrerr. #comingtoamerica party #virgoseason”, aliandika Swizz Beatz.

Swizz Beatz

Swizz Beatzkatikati akiwa ameketi kwenye kiti cha kifalme kulia ni baba yake akiwa amezungukwa na wahudumu,

screen-shot-2014-09-12-at-9-31-46-am

Swizz Beatz, baba, mama na bibi yake

screen-shot-2014-09-12-at-9-31-59-am

Alicia Keys akimuimbia mumewe, mfalme Swizz huku akisindikizwa na wajakazi.

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s