MWANARIADHA OSCAR PISTORIUS APATIKANA NA HATIA YA KUUA KWA BAHATI MBAYA

Oscar Pistorius

Oscar Pistorius

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, amepatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp kwa bahati mbaya

Akitoa uamuzi wake jaji Thokozile Masipaal alisema kuwa mwanariadha huyo alimuua Reeva kwa bahati mbaya alipofyatua risasi kupitia kwa mlango wake wa choo akiwa akatika hali ya mshtuko akidhani kuwa jambazi alikuwa amevamia nyumba yake.

Alisema kuwa upande wa mashitaka umeshindwa kuthibitisha kuwa Pistorius alinuia kumuua Steenkamp na akutekeleza mauaji hayo kwa kusudi.

Pia alipatikana na hatia ya kosa la kutumia silaha yake visivyo alipokwenda mgahawani.

-bbc.co.uk

Advertisements

One thought on “MWANARIADHA OSCAR PISTORIUS APATIKANA NA HATIA YA KUUA KWA BAHATI MBAYA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s