KAJALA MASANJA AFANYA KUFURU KWENYE BIRTHDAY YA MTOTO WA H-BABA

Untitled

Pichani ni Mtoto wa H-Baba na Florah Mvungi, Tanzanite One katika pozi

Madame Kajala Masanja ameendelea kuonyesha jeuri ya pesa baada ya kumzawadia keki ya nguvu na kitita cha shilingi laki tano za kitanzania mtoto wa kwanza wa kike wa mkali wa miondoko ya Takeu, Hamis Baba AKA H.Baba aitwaye Tanzanite One aliyetimiza umri wa mwaka mmoja hapo  jana Septemba 11.

Mbali na Kajala, mastaa wengine nao hawakubaki nyuma akiwemo Mtangazaji wa EFM ‘Maimartha Jesse’ ambaye alitoa shilingi Laki 3,  Wastara Sajuki aliyetoa zawadi ya keki pamoja na zawadi nyingine kibao kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki wa karibu  katika kusherekea siku hiyo muhimu ya kuzaliwa kwa mtoto wa ndoa wa H-Baba na Florah Mvungi.

”cake zilikuwa zaidi ya 5 ASANTE @new_kajala kwakuleta zawadi kubwa kwa #tanzaniteone Umetisha sana kajala kwakumpa mtoto wetu laki 5 wee ninooma #Asante #DIR. Lamata @lamataleah kwa zawadi ya cake kwa #tanzaniteone nitamu bhalaaaa. #Asante wastara kwa KUTULETEA bonge La #cake Umetisha sana Dada angu @wastara84 mwenyezi akupe moyo uwo uwo. #ASANTE SANA MAIMARTHA #kwa zawadi ya laki 3 na cake kubwaaa ninooma Bado naendelea KUPOKEA zawadi ninyingi nabado napokea zawadi kutoka sehemu mbalimbali bado shughuli Inaendelea mpaka asubui”. aliandika H-Baba kwenye ukurasa wake wa Instagra.

Bhd Birthday Cake Florah Mvungi Hbaba na Florah Mvungi H-Baba HF Kajala Maimartha Mapacha wa ukweli

 

Advertisements

One thought on “KAJALA MASANJA AFANYA KUFURU KWENYE BIRTHDAY YA MTOTO WA H-BABA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s