FAT JOE AWATAKA RICK ROSS NA DJ KHALED WAPUNGUZE UBONGE

Fat joe on Fuse TvRapa wa Marekani, Fat Joe amewatolea uvivu washkaji zake, Rick Ross na Dj Khaled wakati alipofanyiwa mahojiano na Fuse Tv na kuwataka wafanye jitihadi katika mazoezi ili waweze kupungua uzito kama jinsi yeye alivyo kwa sasa.

” I talked them all into losing weight. [I was like] yo, we gotta lose weight or we gonna die. You don’t want to leave the money behind. You worked hard to be successful. I think Rick Ross owns like 25 wingstops! He’s doing really good for himself and I’m like, ‘my man, we gotta work out. We gotta do it.’ Now, they took the torch and they might be beating me. Khaled is on Instagram working out, no matter what. I applaud him. He’s also my daughter’s godfather so I want him to be around for a long time”. alifunguka Fat Joe

Itakumbukwa mwezi April mwaka huu, Fat Joe aliwashangaza watu wengi baada ya kupoteza takribani kilo 90 baada ya kumaliza kutumikia  kifungo chake cha miezi minne jela kwa kosa la kukwepa kulipa kodi na kumfanya aonekane tofauti na hapo awali.

fat1

Pichani ni Fat Joe Kabla na baada ya kupungua uzito

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s