DWYANE WADE NA GABRIELLE UNION WALA FUNGATE(HONEYMOON) TANZANIA

Dwyane Wade na Gab

Dwyane Wade na Gab

Mcheza kikapu nyota wa Timu ya Miami Heat, Dwyane Wade na mkewe muigizaji Gabrielle Union ambao walifunga ndoa Agosti 30 mwaka huu, wameamua kula fungate lao(honeymoon) barani Africa kwa kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti iliyopo mkoani Mara nchini Tanzania kwa ajili ya kujionea vivutio mbalimbali.

Mastaa hao hawakuishia hapo bali walipata pia nafasi ya kutembelea kisiwa cha Maldives kilichopo katika pwani ya Bahari ya Hindi na kutupia picha kadhaa kwenye akaunti zao rasmi za mitandao ya kijamii kama vile Twitter, facebook na Instagram wakiponda raha.

“Pure joy! Life on the Serengeti. #Tanzania #Masai #2ndLeg.” aliandika Gab kwenye ukurasa wake wa Instagram

Dwyane

Dwyane na mkewe Gabrielle Union wakipata ukodaki na wamasai ndani ya mbuga ya Serengeti

Gab

Muigizaji nyota wa Hollywood, Gabrielle Union akibarizi upepo mwanana kisiwani Maldives

 

media

Selfie kwa sana

Advertisements

One thought on “DWYANE WADE NA GABRIELLE UNION WALA FUNGATE(HONEYMOON) TANZANIA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s