PROFESSOR JAY KUZINDUA VIDEO MBILI KWA MPIGO JUMAMOSI HII(SEPTEMBA 13) NDANI YA TEN LOUNGE

Gwiji wa muziki wa HipHop Bongo, Joseph Haule AKA Professor Jay ameamua kuwapa zawadi mashabiki na wapenzi wa muziki wake kwa kuwaalika kwenye uzinduzi wa video zake mbili mpya ambazo ni Tatu Chafu na Kipi Sijasikia Jumamosi hii(Septemba 13) ndani ya ukumbi wa Ten lounge zamani ukifahamika kama Letasi Lounge uliopo eneo la Victoria jijini Dar es salaam sambamba na kuwaangusha shoo ya nguvu kwa mtonyo wa buku 10 tuu.  Hii si ya kukosa mtu wangu!!! NiShedah!!

Prof Jay

Advertisements

One thought on “PROFESSOR JAY KUZINDUA VIDEO MBILI KWA MPIGO JUMAMOSI HII(SEPTEMBA 13) NDANI YA TEN LOUNGE

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s