TYGA AKANUSHA VIKALI KUTOKA KIMAPENZI NA MDOGO WAKE KIM KARDASHIAN

Tyga na Kylie

Tyga na Kylie Jenner Katika Picha

Rapa wa Young Money, Tyga amejikuta katika wakati mgumu kufuatia habari zilizosambazwa na mtandao wa Media Take Out zinazodai kuwa anatoka kimapezi na mdogo wake Kim Kardashian aitwaye Kylie Jenner ikiwa ni siku chache kupita tangu  aripotiwe kuachana na mama watoto wake Blac Chyna.

Mtandao huo unaoandika habari za udaku na mastaa,  ulidai kwamba mwandishi wao aliwashuhudia Tyga na Kylie wakipata chakula cha jioni kwenye mgahawa wa Phillipe Chow uliopo eneo la Beverly Hills nchini Marekani huku wakiwa wameshikana mikono utasema ni mtu na mpenzi wake.

Hata hivyo Masaa mawili baada ya taarifa hiyo kutolewa, Tyga alikanusha vikali tetesi hizo kupitia  ukurasa wake wa Twitter  na kudai wao ni familia rafiki.

‘“I HATE BLOGS! DON’T BELIEVE THE RUMORS, BEEN FRIENDS WITH THE FAMILY FOREVER. WERE [sic] ALL JUST FRIENDS.” aliandika Tyga

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s