MSANII WA BONGO MOVIE ‘LUCY KOMBA’ AFUNGA NDOA NA MZUNGU WAKE

L6Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Msanii nyota wa kike wa kiwanda cha filamu Bongo, Lucy Komba amefunga pingu za maisha na laaziz wake Raia wa Denmark aliyefahamika kwa jina moja la Stanley.

Wawili hao waliodumu kwenye uchumba kwa kipindi kirefu, walisherekea siku yao hiyo muhimu katika kisiwa cha Bongoyo kilichopo Bahari ya Hindi jijini Dar es salaam na baadae kujumuika katika pati fupi iliyoandaliwa na familia.

L8

Lucy Komba, Mumewe na Mzee Chilo katika picha ya pamoja

L4

Lucy Komba na Mumewe katika pozi kisiwani Bongoyo

L7

Lucy na Mumewe wakisakata lumba

L1 L2 L3 L5

 

Advertisements

One thought on “MSANII WA BONGO MOVIE ‘LUCY KOMBA’ AFUNGA NDOA NA MZUNGU WAKE

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s