JUSTIN BIEBER AMWAGA RADHI STEJINI

Justin Bieber

Justin Bieber

Hitmaker wa Baby, Justin Bieber aliuduwaza umati wa watu uliohudhuria onyesho la mavazi na muziki ‘Fashion Rocks’  usiku wa Jana(Septemba 09) kwenye ukumbi wa Barclays Center baada ya kusaula kila kitu stejini na kubakiwa na nguo ya ndani aina ya Boksa iliyotengenezwa na kampuni ya Calvin Klein..

Bieber mwenye miaka 18 alifanya kituko hicho baada ya kupanda stejini na mwanamitindo Lara Stone  kwa ajili ya kumkaribisha mwanamuziki  Rita Ora lakini ghafla akaanza kwa kusema, “I actually don’t feel comfortable unless I’m in my Calvins.”  na kisha akaanza kuvua nguo moja baada ya nyingine huku akitazamwa watu.

”Grandma always said kill ’em with kindness…and then strip on live national tv. Lol.’‘ aliandika Bieber kwenye mtandao wa Twitter na kukanusha kuwa  kitendo alichofanya hakikupangwa.

Justin Bieber

Justin Bieber akianza kusaula nguo moja baada ya nyingine

Justin Bieber

Justin Bieber akiwa na boksa bstejini  bila ya kupepesa

 

Justin Bieber

 

 

Advertisements

One thought on “JUSTIN BIEBER AMWAGA RADHI STEJINI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s