HEMEDY PHD ATAZAMIA KUPATA MTOTO

Baada ya kumtambulisha rasmi mkewe mtarajiwa, hitamaker wa Far Away, Hemedy Suleiman AKA Pappination ameonyesha kila dalili za kutaka kuitwa baba kufuatia picha kadhaa ambazo amekuwa akiziposti kwenye ukurasa wake wa Instagram kuashiria wazi dhamira yake hiyo.

#This is all im wishing right now to make my mama happy!!…Me chilling with my handsome son or my beautiful daughter inshallah!!WA KIUME anaitwa MUSIQ wa kike anaitwa MELODY!…#Fatherhood wishes. aliandika Hemedy

 

pappination

Hiki ndicho alichoposti Hemedy kwenye ukurasa wake wa Instagram

Insta

PappiNa1

Hemedy katika Pozi na Mchumba wake

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s