AJALI TENA!!! BASI LINGINE LAUA WANNE MKOANI MOROGORO

Basi kubwa la abiria aina ya Scania lenye namba T 106 ADB  mali ya kampuni ya Air Bus lililokuwa likitokea Dar es salaam kuelekea  Tabora, limeharibika vibaya na kuua watu takribani 4 baada ya kuangukia chini ya daraja la mto Mkange  ambao hauna maji ulipo Gairo mkoani Morogoro.

kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro, Leornard Kondo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo kwa kile kilichotajwa kuwa ni mwendo kasi wa dereva huku idadi ya majeruhi wanaume ikitajwa kuwa ni 18 pamoja na wanawake 10. bas3 ajali tabora 2 ajali tabora 1ajali tabora 4

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s