DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO 4 ZA CHOAMVA

 DP

Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameendelea kupasua anga kimataifa zaidi baada ya kutajwa kuwania Tuzo za Channel O Africa Music Video Awards 2014(CHOAMVA) katika vipengele vinne  ambavyo ni Most Gifted Video of the Year, Most Gifted Newcomer , Most Gifted Afri Pop na Most Gifted East.

Tuzo hizo zitatolewa usiku wa Jumamosi November 29 mwaka huu kwenye ukumbi wa Nasrec Expo mjini Soweto nchini Afrika Kusini.

kwanza kabisa nitangulize shukran zangu nyingi kwa Media zote nje na ndani ya nchi… wadau na bila haswa kuwasahau nyinyi mashabiki zangu pendwa.. naamini nguvu na support zenu za kizalendo mnazozidi kunipa ndio zimepelekea kijana wenu leo kufikia hapa…… niwashkuru pia @channeloafrica kwa fursa hii…. Africa! Ni muda wa Kupiga kura sasa!!!!] #CHOAMVA2014”. aliandika Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram

Unaweza ukatazama chati kamili na wasanii anaowania nao hapo chini.  Hakuna kinachoshindikana chini ya jua, mpigie kura kwa wingi Diamond ili aweze kurudi na Tuzo hizo nyumbani.

CHOAMVA

Advertisements

2 thoughts on “DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO 4 ZA CHOAMVA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s