TETESI : BALOTELLI ANUNUA JUMBA LA KIFAHARI HUKO ENGLAND

Mario BalotelliMshambuliaji mtukutu wa klabu ya Liverpool, Mario Balotelli ameanza kuonyesha jeuri ya pesa baada ya kuwepo kwa tetesi za kutaka kulinunua  jumba moja la kifahari lenye thamani ya pauni milioni 4.7 lililopo kaskazini mwa mji wa London ikiwa ni siku chache kupita tangu ajiunge na miamba hiyo ya England akitokea AC Millan ya Italia.

Jumba hilo lenye kila sifa za kuishi  mchezaji yoyote  tajiri, lina jumla ya vyumba 5 vya kulala, bwawa la kuogelea, Sauna, Chumba maalum cha mvinyo(Wine Cellar) pamoja na sehemu maalum ya kutua helikopta. Fanya kulitazama hapo chini..

balo2

Pichani ni eneo la Sebuleni

balo8

Sehemu maalum ya kuhifadhia mivinyo

balo1 balo3 balo4 balo5 balo6 balo7 MayD-P-Square-36NG

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s