ALICHOSEMA RONALDO BAADA YA DI MARIA KUJIUNGA NA MAN UNITED

Cristiano Ronaldo

Cristiano Ronaldo

Mshambuliaji Nyota Cristiano Ronaldo amependekeza hakubaliani na biashara ya uhamisho iliyofanywa na timu yake ya Real Madrid katika kipindi hiki cha kiangazi.

Ronaldo anaelezea kutatanishwa kwake na jinsi Rais wa mabingwa hao wa Ulaya alivyosajili wachezaji wapya na kuwaachilia wengine kuondoka baada ya klabu hiyo kutumia zaidi ya Euro millioni 110 kusajili mashujaa na wakali waliofanya vizuri katika kombe la Dunia.

James Rodriguez, Toni Kroos na Keylor Navas lengo likiwa ni kuendeleza Philosofia yao ya Galacticos ambayo inalenga kuleta wachezaji maarufu zaidi kote Duniani.

Hata hivyo pamoja na kufanya usajili huo kilichoonekana ni kuwa Rais huyo alishinikizwa kuwauza viungo wakongwe Angel Di Maria na Xabi Alonso ili waweze kutengeneza hesabu za timu hiyo kulingana na kanuni za usimamizi wa fedha kwa jumla ya Euro milioni 85.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s