FALCAO ATUA MAN UNITED, WELBECK ASAJILIWA NA WASHIKA MTUTU WA JIJI LA LONDON ‘ARSENAL’

Dirisha la usajili wa kimataifa limefungwa jana ikiwa ligi kuu ya soka ya England imetumia pauni milioni 835 kiasi kikubwa kuliko mwaka jana ambapo walitumia pauni milioni 760.

Timu ya Manchester United pekee  imetumia karibu pauni milioni 150 pamoja na kumchukua kwa mkopo Ramadel  Falcao toka Monaco ya ufaransa kwa pauni milioni 6 na kuwauzia Arsenal Danny Wilbeck kwa pauni milioni 16.

Falcao

Falcao akiwa ametinga uzi mpya wa Man United

Danny Welbeck

Danny Welbeck

Welbeck amepewa jezi yenye namba 23  mgongoni

Welbeck atakuwa akivaa jezi yenye namba 23 mgongoni ambayo ilikuwa ikivaliwa na beki wa zamani wa timu hiyo Sol Campbell.

Advertisements

2 thoughts on “FALCAO ATUA MAN UNITED, WELBECK ASAJILIWA NA WASHIKA MTUTU WA JIJI LA LONDON ‘ARSENAL’

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s