KALI YA MWAKA!!! SNOOP DOGG ABADILI JINA NA KUJICHUBUA KAMA MICHAEL JACKSON

todd

Awali alikuwa akijiita Snoop Doggy, alafu akabadili tena jina na kujiita Snoop Lion, ila safari hii amekuja na kali kuliko zote baada ya kujipachika jina jipya la Todd huku akiwa ametinga wigi la kike na kujichubua sura utasema mzungu.

Snoop alifanywa make up hiyo  wakati wa utengenezaji wa tangazo kwa ajili ya kuipigia debe tovuti ya ”White Dudes connect” inayojihusisha na masuala ya mahusiano.  Mtazame hapo chini uvunje mbavu zako.

snoop-dog-skin-change2.png

Todd katika pozi

snoop-dog-skin-change3.png

Ni mambo tuu ya Make – Up

 

 

 

Advertisements

One thought on “KALI YA MWAKA!!! SNOOP DOGG ABADILI JINA NA KUJICHUBUA KAMA MICHAEL JACKSON

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s