DIRISHA LA USAJILI : KAGAWA ARUDI TENA DORTMUND

Shinji Kagawa

Shinji Kagawa akiwa ameshikilia uzi wa Dortmund

Kiungo wa kimataifa wa Japan, Shinji Kagawa amesaini mkataba wa miaka minne wa kuichezea  klabu yake ya awali ya Borussia Dortmund  akitokea Manchester United kwa ada ya uhamisho wa pauni milioni 6.3.

Kagawa mwenye miaka 25 ameichezea Dortmund kwa takribani miaka miwili kuanzia 2010 mpaka  2012 na kisha kujiunga na mashetani wekundu.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s