DIAMOND APONEA CHUPUCHUPU KUPIGWA NA MASHABIKI NCHINI UJERUMANI

6d8c2-diamond-1Watoto wa mujini sio Bongo pekee, bali hata huko majuu wengi pia wapo, msanii wa Bongo Fleva anayelipwa mkwanja mrefu zaidi kwenye shoo zake, Diamond Platnumz ameponea chupuchupu kuchezea kipigo toka kwa mashabiki waishio mjini Stuttgart nchini Ujerumani ambapo alikwenda Alhamisi iliyopita kwa ajili ya kuwapa burudani

Chanzo cha sakata hilo linatajwa kuwa ni waandaaji wa shoo hiyo waliofahamika kwa jina la Britt Events ambao walichelewa kumpeleka ukumbini hali iliyopelekea mashabiki kushikwa na hasira na kujikuta wakianzisha timbwili la aina yake huku wengine wakitoa lugha chafu na kurusha chupa ovyo kabla ya polisi kuingilia kati na kumtorosha eneo la tukio.

kiukweli nimesikitishwa sana na uandaaji wa kampuni hii ya BRITTS EVENTS iliyoandaa show ya Stuttgart Germany… kinachoniuma na kunisikitisha zaidi ni jins watu walivyoamua kujitolea kuja kutusupport vijana wao kwa wingi, halaf mwisho wa siku promoter anatupeleka wasanii kwenye show saa kumi alfajiri… najua ni kiasi gani mmeumia na kuwa disappointed… lakini naomba mtambue kuwa halikuwa ni kosa langu, coz mimi ni mgeni tu, na nafata maelekezo ya promoter…hivyo nisingeweza kujiamulia kuja muda ninaoutaka mimi…aliandika Diamond kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Hali i livyokuwa baada ya kuzuka kwa vurugu

Hali i livyokuwa baada ya kuzuka kwa vurugu

Diamond Platnumz Germany

Diamond akiwapagawisha mashabiki katika moja ya show yake

Advertisements

3 thoughts on “DIAMOND APONEA CHUPUCHUPU KUPIGWA NA MASHABIKI NCHINI UJERUMANI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s