JOAN RIVERS HALI BADO TETE, APUMULIA MASHINE

Joan Rivers

Joan Rivers

Mtangazaji na mchekeshaji mkongwe, Joan Rivers bado amendelea kupigania maisha yake akiwa chini ya uangalizi mkubwa wa jopo la madaktari baada ya kuzidiwa ghafla alhamisi iliyopita na kukimbizwa hospitali.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeripoti kwamba Joan mwenye umri wa miaka 81 alipelekwa hospitali kufuatia kushindwa kupumua  na hivyo kupelekea kutumia msaada wa mashine.

Familia ya staa huyo akiwemo binti yake, Melissa wanategemea mama yao kurudia katika hali yake ya kawaida licha ya kupumua kwa kutumia msaada wa mashine.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s