UJUE MJI ULIOTAPAKAA WAREMBO TUPU HUKO BRAZIL WANAOWASAKA KWA UDI NA UVUMBA MAKAPERA

ad_144090564

Wakazi wa Navio wakiwa kwenye shughuli zao za kijamii

 

Wanakwambia Tembea uone, Mji mmoja nchini Brazil ambao wakazi wake wengi ni wanawake warembo umetoa dukuduku lake la kuwahitaji wanaume wasiokuwa na wake maarufu kama makapera ili waweze kuwaondolea upweke na ikiwezekana kuolewa.

Mji huo unaojulika kwa jina la Noiva do Cordeiro uliopo kusini mwa Brazil wenye wakazi wa  kike wapatao 600,  umekuwa na taratibu zake ikiwemo kuwaruhusu baadhi ya waume wachache kuwatembelea mjini hapo  siku za wikiendi.

”Sijawahi kumbusu mwanaume kwa kipindi kirefu”. ”Sote tuna ndoto za kuzimiwa na kuolewa. Lakini tunapenda kuishi mahala hapa na hatutaki kuondoka hapa kwenda kutafuta wanaume wakutuoa nje”. alisema Nelma Fernandes mwenye miaka 23  mkazi wa Noiva  alipofanyiwa mahojiano na gazeti la Mirror.

Makazi hayo  yalianzishwa na Maria Senhorinha De Lima baada ya kukimbia ndoa ya kulazimishwa na kisha kuungwa mkono na baadhi ya wanawake waliotengwa kwenye jamii.

Mrembo Nelma ametoa angalizo kwa wanaume wenye shauku ya kwenda kuwatembelea na kuwataka wafuate kile wanachosema na kuishi chini ya sheria yao,  ”Kuna mambo mengi wanawake wanafanya vizuri zaidi kushinda wanaume. Mji wetu ni mzuri sana  na umepangiliwa”. Alisema Nelma

 

Braziliana

Totoz za Navio zikiwa kwenye kilimo kwanza

Noiva do Cordeiro.jpg

Pichani ni mji wa Noiva do Cordeiro

ad_144090550

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

2 thoughts on “UJUE MJI ULIOTAPAKAA WAREMBO TUPU HUKO BRAZIL WANAOWASAKA KWA UDI NA UVUMBA MAKAPERA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s