RAPA YOUNG THUG AKWAA TENA SKENDO YA USHOGA

Young-Thug-2

Young Thug

Kweli jasiri haachi asili, licha ya kukanusha mara kwa mara katika vyombo vya habari  kutojihusisha na mapenzi ya jinsia moja(ushoga), Rapa kinda wa Atlanta Marekani,  Young Thug ametibua  tena hali ya hewa baada ya kuposti picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na Rapa mwenzake Richie Homie Quan na kisha kuandika caption tata.

”Me and my hubbie!!! @richhomiequan 4 life udigg!!!! PHOTO BY : @iamdjfresh” aliandika Young Thugkwa wale wasiofahamu maana ya neno Hubbie kwa kiswahili ni Mume.

Young Thug

Hii ndio picha aliyopost Young Thug akiwa na Richie Homie Quan

 

 

 

Advertisements

One thought on “RAPA YOUNG THUG AKWAA TENA SKENDO YA USHOGA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s