KICHUPA KIPYA : PSquare Ft. T.I – EJEAJO [Official Video]

Psquare na TMwaka huu Psquare hawataki mchezo na mtuu baada ya kuachia nyimbo tatu kwa mpigo  ikiwemo  sapraiz ya nguvu ya video yao mpya inayoitwa Ejeajo ambayo wamemshirikisha Rapa nyota wa Marekani T.I .

Ejeajo, Shekini pamoja na Bring It On ni baadhi ya ngoma zinazopatikana kwenye albamu ya sita ya wakali hao  inayotarajia kutoka mwezi ujao.  Itazame Hapo Chini Video Hiyo…

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s