CHRISTIANO RONALDO ATWAA TUZO YA MWANASOKA BORA BARANI ULAYA 2013 – 2014

Cristiano RonaldoMpachika mabao hatari  wa kimataifa,  Cristiano Ronaldo amefanikiwa kutwaa Tuzo ya mwanasoka bora barani ulaya ”UEFA Best Player ” kwa mwaka 2013 na 2014 baada ya kuisaidia klabu yake ya Real Madrid kutwaa kombe la ligi ya mabingwa.

Ronaldo amewabwaga wachezaji wenzake waliokuwa katika kinyang’anyiro hicho akiwemo Straika wa Bayern Munich Arjen Robben na goli kipa Manuel Neuer Katika kura zilizopigwa wazi na waandishi wa habari wapatao 54.

#UEFAbestplayer of Europe. What a joy to win this trophy that I want to share with all of you. Thank you” aliandika Ronaldo kwenye ukurasa wake wa Facebook.

 

 

 

Advertisements

One thought on “CHRISTIANO RONALDO ATWAA TUZO YA MWANASOKA BORA BARANI ULAYA 2013 – 2014

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s