ZITUPIE JICHO PICHA 14 MPYA ZA PSQUARE

p14Mapacha wawili, Peter na Paul Okoye wanaounda kundi la Psquare wameachia picha kali  kwa ajili ya promo ya ujio mpya wa albamu yao ya sita inayotarajiwa kuingia rasmi sokoni mwezi September mwaka huu.

Baadhi ya picha hizo wakali hao wanaonekana wakiwa wametupia clothing line ya kaka yao Tony Okoye  ”Ajeh wears” ambazo zimekuwa gumzo hasa kutokana na kuwa na muonekano wa kiafrica zaidi.  Wacheki Hapo Chini.

p26

Paul Okoye katika pozi akiwa ametinga AJ Wears

p52

Psquare katika pozi wakiwa wametupia clothing line yao AJ Wears

p8 p9 p10   p16 p34 p42 p61 p71 p111 p121p15

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s