YOUNG JEEZY MIKONONI MWA POLISI KWA KUKUTWA NA BUNDUKI

2012 BET Awards - Arrivals

Rapa mzaliwa wa Atlanta nchini Marekani, Jay Jankins AKA Young Jeezy amekamatwa na polisi kwa madai ya kukutwa na bunduki baada ya mtu mmoja kufariki Dunia kwa kupigwa risasi kwenye Tamasha la muziki la Wiz Khalifa lililofanyika Mountain View mjini California.

Tukio hilo lilitokea usiku wa Agosti 22   ambapo mtu huyo aliyetambulika kwa jina la Eric Johnson mwenye miaka 38 alifyetuliwa risasi tatu mfululizo akiwa backstage na baadae kufariki Dunia hospitalini.

Inaelezwa kwamba jumapili iliyopita(Agosti24) polisi walifanikiwa kukuta bunduki aina ya Rifle ikiwa ndani ya basi la Young Jeezy waliyoamini kuwa ni yake na hivyo kuwalazimu kuwatia nguvuni wapambe wake pia.

Kwa mujibu wa mtandao wa E! Online umeripoti kwamba watu wengine waliokamatwa ni pamoja na Kena Marshall, Peter Maynard, David Kuniansky-Altman, William Gilmore, na Alexa Beason huku dhamana ya Jeezy ikiwa dola za kimarekani milioni moja.

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s