PASTOR MYAMBA APATA AJALI YA GARI

Pastor Myamba Na Mkewe

Pastor Myamba na Mkewe siku ya Ndoa yao

Staa wa Bongo Movie, Pastor Myamba amepata ajali  ya gari baada ya mkoko wake kugongana ubavuni na gari lingine ikiwa ni wiki kadhaa kupita tangu afunge ndoa takatifu na mkewe Praxceda visiwani Zanzibar.

Hata hivyo ajali hiyo haikuweza kumletea madhara yoyote msanii huyo anayezitendea haki scene za kichungaji na kuandika kwenye ukurasa wake wa FacebookNimepata ajali ila namshukuru Mungu niko Ok!!.

Pichani ni gari la Myamba kulia likiwa limegongana na gari lingine

Kulia ni gari la Myamba  likiwa limegongana na gari lingine

 

Advertisements

One thought on “PASTOR MYAMBA APATA AJALI YA GARI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s