ARSENAL WAFUZU LIGI YA MABINGWA ULAYA KWA KUITUNGUA 1 – 0 BESIKTAS

Arsenal 1 - 0 BesiktasWashika mtutu wa jiji la London, Klabu ya Arsenal imeitungua bao 1 – 0 Besiktas ya Ugiriki na kufanikiwa kufuzu katika ligi ya mabingwa barani Ulaya.

Mchezo huo uliokuwa umetawaliwa na kadi nyingi za njano ambapo mshambuliaji wa kimataifa wa Chile  Alexis Sanchez aliweza kuipatia Arsenal bao pekee  na la ushindi mnamo dakika ya 45 kabla ya kuelekea mapumziko.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s